UTAMADUNI WA AFRIKA UNAVYOTAMBULISHA MAADILI NA THAMANI YA FASIHI YA KISWAHILI

Authors

  • Simba Haji Gora

DOI:

https://doi.org/10.63104/suj.v10.i2.134

Keywords:

Utamaduni wa Mswahili, Filamu za Kiswahili, Mvutano, Aksiolojia, Thamani ya Fasihi

Abstract

Makala hii imechunguza mvutano wa kimaadili katika filamu za Kiswahili na namna unavyoibua thamani ya fasihi ya Kiswahili. Katika kufikia lengo hilo makala hii imechambua mivutano ya kimaadili katika maeneo makuu mawili. Mosi, imani juu ya desturi za Mswahili. Katika kipengele hiki kumebainika kuwapo kwa mvutano katika kulinda mila na silka za Mswahili, umuhimu wa mafunzo ya ndoa na mitazamo kuhusu ukale na usasa. Pili, kumechambuliwa mivutano kuhusu falsafa. Katika ufafanuzi wa mivutano ya kifalsafa kumechambuliwa imani juu ya mkole na jando kwa Waswahili, nafasi ya uzazi na malezi ya mtoto na imani kuhusu kifo. Ukusanyaji na uchambuzi data umefanywa kupitia mbinu ya udurusu matini na kuchambuliwa kwa mbinu ya kimaudhui kwa kuzitazama na kuzichambua filamu za Kiswahili. Uchambuzi huo umehusisha nadharia ya aksiolojia kwenye tawi na maadili.

Downloads

Download data is not yet available.

References

] Ackah, K. (2014). Antiquity versus modernity: Aspects of lifestyles and life-conditions. Katika Legon Journal of the Humanities, 25. Department of Philosophy and Classics, University of Ghana, Legon

Amponsah, K. (1975). Topics on West African traditional religion. Religious Studies, 2. New York: oxford Publisher.

Chairina, I. A. (2019). An analysis of moral values in the movie COCO. In Proceedings of the 2nd English Education International Conference (EEIC) in conjunction with the 9th Annual International Conference (AIC) (p. 62). Universitas Syiah Kuala, Banda Aceh, Indonesia. [4] Davies, D. (2007). Aesthetics and literature. London: Oxford University Press.

Faustine, S. (2019). Falsafa ya Waafrika kama kijenzi cha mtindo wa uhalisiajabu katika riwaya za Kiswahili. In A. S. Ponera & Z. A. Badru (Eds.), Koja la taaluma za insia: Kwa heshima ya Profesa Joshua S. Madumulla. Dar es Salaam: Karljamer Publishers Ltd.

Fuluge, A. (2021). Usawiri wa mchakato wa kujiua katika riwaya za Euphrase Kezilahabi: Ni mwangwi wa mtanziko wa kijamii? Unpublished master’s thesis, Chuo Kikuu cha Dodoma. [7] Lamarque, P. (2008). Aesthetics and literature: A problematic relation? Philosophical Studies, 135(1), 85.

Mosweunyane, D. (2013). The African educational evolution: From traditional training to formal education. Higher Education Studies, 3(4). https://doi.org/10.5539/hes.v3n4p50 [9] Sanga, N. A. (2021). Thamani ya ujumi wa Kiafrika katika hadithi fupi Simulizi za Kiswahili. MULIKA, 40(1), 114.

Stecker, R. (2019). Two definitions of artistic value. Central Michigan University.

Downloads

Published

2025-12-25

How to Cite

[1]
S. H. Gora, “UTAMADUNI WA AFRIKA UNAVYOTAMBULISHA MAADILI NA THAMANI YA FASIHI YA KISWAHILI”, SUJ, vol. 10, no. 2, Dec. 2025.

Issue

Section

Articles