Makosa ya Lughawiya Yanayojitokeza katika Maandishi ya Wanafunzi Wanaojifunza Kiswahili kama Lugha ya Kigeni Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
Keywords:
Stadi ya Kuandika, Stadi ya Kuzungumza, Lugha ya Pili, Lugha ya KigeniAbstract
Makala hii imechunguza ugumu wa stadi ya kuandika unavyoibua makosa ya kilughawiya katika maandishi kwa wanafunzi wa Kiswahili kwa wageni kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar. Mifano iliyochambuliwa ni kutoka makosa yasiyostahamilika katika uandishi. Data za Makala hii zimekusanywa na kuchambuliwa kupitia nadharia ya umilisi wa lugha. Data zimekusanywa kupitia uchanganuzi matini. Miongoni mwa makosa yaliyobainika kwa wanafunzi ni pamoja na makosa ya uainishaji wa ngeli za majina, makosa katika upatanishi wa kisarufi, kukosekana kwa ushikamani, kosa la kimsamiati, ukanushi wa karibu, matumizi ya viambishi nafsi na viambishi vya umoja na wingi. Makala hii inatarajiwa kuongeza nyaraka za kitaaluma katika kufundisha Kiswahili kama lugha ya kigeni. Aidha, walimu wa Kiswahili kwa wageni watabaini changamoto zinazowakumba wanafunzi wao na kuzitolea suluhisho ili waweze kufundisha kwa ufanisi zaidi.
Downloads
References
Alamri, H. R. (2019). “Writing proficiency levels among Arabic and English language student teachers and their perceptions of challenges in writing skill.” Journal of Literature, Language and Linguistics, 62(07), 62–75.
Ali, L. H. (2015). Changamoto na mbinu za kiisimu katika ufundishaji wa stadi ya mazungumzo kwa wanafunzi wa elimu ya awali. Unpublished master’s thesis, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Flower, L., & Hayes, J. R. (1981). “A cognitive process theory of writing.” College Composition and Communication, 32(4), 365–387.
Graves, D. H. (1983). Writing: Teachers and Children at Work. Heinemann.
Halliday, M. A., & Hassan, A. (1976). Cohesion in English. Longman.
Hyland, K. (2003). Second Language Writing. Cambridge University Press.
Lehmann, C. (2006). Linguistic Competence. Erfurt: University of Erfurt Publisher.
Norrish, J. (1983). Language Learners and Their Errors. Macmillan Press.
Ogalo, M. (2011). Teaching Techniques that Enhance Integration in the Development of English Language Skills in Secondary Schools in Gatundu District. Unpublished master’s thesis, Kenyatta University.
Rivers, W. (2000). Interactive Language Teaching. Cambridge University Press.
Sebazungu, P., & Ikuramutse, M. H. (2023). “Factors leading to Kiswahili poor speaking skills in Kicukiro secondary schools, Rwanda.” Journal of Research Innovation and Implication in Education, 7(2), 61–68.
Verah, M. K. (2017). Factors Affecting Students’ Acquisition of Speaking Skills in English among Secondary Schools in Turkana East District, Kenya. Unpublished master’s thesis, Kenyatta University.
Zahir, C. A., & Zannat, M. (2021). “Barriers to teaching English productive skills in online classrooms: A study at private universities in Bangladesh.” International Journal of Linguistics, Literature and Translation, 4(12), 164–171.