VIASHIRIA VYA MATATIZO YA AFYA YA AKILI KATIKA MAISHA YA NDOA KWA KUZINGATIA NADHARIA YA SAIKO-CHANGANUZI

Mifano kutoka riwaya ya Mungu Hakopeshwi na Penzi la Damu.

Authors

  • Hamida Mohammed Maulid

DOI:

https://doi.org/10.63104/suj.v10.i2.128

Keywords:

Viashiria vya Matatizo, Afya ya Akili Katika, Maisha ya Ndoa

Abstract

Makala hii imelenga kuchunguza viashiria vya matatizo ya afya ya akili katika maisha ya ndoa kupitia riwaya Mungu Hakopeshwi na Penzi la Damu. Data za makala hii zimekusanywa maktabani kwa kutumia mbinu ya uchanganuzi matini kwa mkabala wa kimaelezo. Kothar (2004) anaeleza kuwa mkabala wa kimaelezo ni mbinu inayotumika kuchambua data kwa njia ya maelezo katika ukusanyaji na uchambuzi wa data.

Sampuli iliyotumika katika makala hii ni riwaya Mungu Hakopeshwi na Penzi la Damu. Utafiti huu umeongozwa na Nadharia ya Saiko-Changanuzi, hasa kupitia msingi wake wa ID (nafsi ya matamanio), ambao unazungumzia hali ya unyama, ushari na ashiki dhidi ya dhamiri.
Umuhimu wa makala hii ni kuwasaidia wasomaji kutambua viashiria vya matatizo ya afya ya akili katika ndoa kupitia riwaya za Kiswahili, sambamba na kuelewa namna ndoa inavyoweza kuchangia matatizo hayo ili kupata tiba mapema kabla ya athari kubwa zaidi. Pia, utafiti huu umetolewa kwa mtazamo wa masuala mtambuka katika utunzi wa kazi za fasihi.

Downloads

Download data is not yet available.

References

American Psychiatric Association. (2013). Diagnostic and statistical manual of mental disorders (5th ed.). Arlington, VA: American Psychiatric Publishing.

American Psychological Association. (2019). Stress in America: Stress in current events. Annual Review of Clinical Psychology, 12, 465–467.

Baharoon, Z. A. (2017). Mungu hakopeshwi.Mkuki na Nyota.

Barlow, R. H. L. (2018). The representation of mental illness in contemporary fiction. Literature and Medicine, 36(1), 123–145.

Beach, S. R. H., et al. (1990). Marital therapy and depression: Effects of treatment on marital functioning and depressive symptoms. Journal of Family Psychology. Coker, A. L., et al. (2002). Physical and mental health effects of intimate partner violence.

Archives of Family Medicine.

Conger, R. D., et al. (1990, 1999). Economic pressure in African American families: A replication and extension of the Family Stress Model.

Corrigan, P. W., & Watson, A. C. (2002). Understanding the stigma of mental illness. World Psychiatry, 1(1), 16–20.

Creswell, J. W. (2009). Research design: Qualitative, quantitative, and mixed methods approaches. Sage Publications.

Creswell, J. W. (2014). Research design: Qualitative, quantitative, and mixed methods approaches. Sage Publications.

Cuijpers, R., et al. (2016). The effect of psychotherapies for major depression in adults on remission, recovery, and improvement: A meta-analysis. Journal of Affective Disorders, 202, 511–518.

Eesa, M. R., Saad, A. M., & Sahib, M. A. (2023). Dhana ya ndoa katika tamadunitofauti. Jarida la Manar Elsharq la Tafsiri ya Fasihi na Masomo ya Lugha, 1(3), 6–11.

Epstein, N., & Baucom, D. H. (2002). Cognitive-behavioral couple therapy. Guilford Press. Golding, J. M. (1999). Intimate partner violence as a risk factor for mental disorders: A meta-

analysis. Journal of Family Violence.

Gottman, J., & Silver, N. (1999). The seven principles for making marriage work. Greenberg, P. E., et al. (2015). The economic burden of adults with major depressive

disorder in the United States (2005–2010). Medical Care, 53(10), 858–865. Howard, C., Burton, M., Levermore, D., & Barrell, R. (2017). Children’s mental health and

emotional well-being in primary schools. Sage Publications Ltd. Karney, B. R., & Bradbury, T. N. (1995). The longitudinal course of marital quality and stability: A review of theory, methods, and research. Psychological Bulletin, 118(1), 3–34.

Katz, C. L., & Mueller, J. S. (2015). Global mental health practice. Routledge Taylor & Francis Group.

Kendler, K. S. (2015). The role of marriage in the risk for major depression: A longitudinal, epidemiological perspective. Journal of Affective Disorders, 174, 200–205.

Khamis, A. M. (2007). Athari za ndoa za zamani na za sasa katika jamii ya Kizanzibari. Tasnifu ndogo iliyowasilishwa katika Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.

Kirknzes, J. (2005). Zanzibar heritage. Bega kwa Bega Publications.

Kothari, C. R. (2004). Research methodology: Methods and techniques. New Age International Publishing Ltd.

Kothari, C. R. (2014). Research methodology: Methods and techniques (3rd ed.). New Age

International Publishing Ltd.

Madumulla, J. S. (2009). Riwaya ya Kiswahili: Historia na misingi ya uchambuzi. Sitima Printers & Stationers Ltd.

Manyanza, A. S. (2017). Penzi la damu. East African Educational Publishers Ltd. Massamba, D. P. B. (2002). Historia ya Kiswahili. The Jomo Kenyatta Foundation. Mayo Clinic Staff. (2002). Mental illness. Mayo Clinic.

McCarthy, B., & McCarthy, E. (2003). Sexual awareness: Your guide to healthy couple sexuality.

Mhoja, E. (2003). Kiongozi cha sheria. Friedrich East Drifting.

Mikulincer, M., & Shaver, P. R. (2007). Attachment in adulthood: Structure, dynamics, and change.

Minuchin, S. (1974). Families and family therapy. Harvard University Press. Mulokozi, M. M. (2017). Utangulizi wa fasihi ya Kiswahili. Moccony Printing Press. Mushengengyezi, A. (2003). Twentieth century literary theory. Mokono Bookshop Printing &

Publishing Company Ltd.

Nestler, E. J., & Hyman, S. E. (2010). Animal models of neuropsychiatric disorders. Nature Neuroscience, 13(10), 1116–1123.

Ogheneochuko, U. S. (2022). A deconstructive analysis of marriage in Elechi Amadi’s The Concubine.African Journal of Humanities and Contemporary Education Research, 3(1), 13–20.

Proulx, C. M., Helms, H. M., & Buehler, C. (2007). Marital quality and personal well-being: A meta-analysis. Journal of Marriage and Family, 69(3), 576–593.

Redio Zanzibar (ZBC). (Desemba 10, 2024). Maelezo baada ya habari. Rwezaura, B. A. (1981). Sheria ya ndoa Tanzania. TUKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Rwezaura, B. A. (2010). Sheria ya ndoa Tanzania (Toleo la pili). Taasisi ya Uchunguzi wa

Kiswahili.

Sagen, L. M. (2015). Mental illness in literature: Seeing and recognizing mental illness in Conrad’s “The Idiots,” Poe’s “The System of Dr. Tarr and Prof. Fether,” and Fitzgerald’s “Tender Is the Night.” Master's thesis, University of Tromsø.

https://hdl.handle.net/10037/7955

Simon, R. W. (2002). Revisiting the relationships among gender, marital status, and mental

health. American Journal of Sociology.

Tawakol, Z., Moghadam, Z. B., Nasrabadi, A. N., Salehiniya, H., & Rezaei, E. (2017). A review of the factors associated with marital satisfaction. Galen Medical Journal,

(3),

e641. https://doi.org/10.31661/gmj.v6i3.641

TUKI. (2013). Kamusi ya Kiswahili sanifu (Toleo la tatu). Oxford University Press. Umberson, D., & Montez, J. K. (2010). Social relationships and health: A flashpoint for health

policy. Journal of Health and Social Behavior, 51(Suppl 1), S54–S66. Wafula, R. M., & Njogu, K. (2007). Nadharia za uhakiki wa fasihi. The Jomo Kenyatta

Foundation.

Wamitila, K. W. (2002). Uhakiki wa fasihi: Misingi na vipengelevyake. Phoenix Publishers Ltd.

Wamitila, K. W. (2003). Kamusi ya fasihi: Istilahi na nadharia. Phoenix Publications. Wamitila, K. W. (2008). Kazi ya fasihi: Misingi ya uchambuzi wa fasihi. Nairobi: Muda

Publishers.

Whisman, M. A. (2001). The association between depression and marital dissatisfaction. In

S. R. H. Beach (Ed.), Marital and family processes in depression. Whisman, M. A. (2007). Marital distress and psychiatric disorders: A population-based

study. Journal of Abnormal Psychology, 116(3), 638–646.

World Health Organization. (2019). Mental health: Strengthening our response.

https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/mental-health-strengthening-our- response

Mayo Clinic. (n.d.). Mental illness: Symptoms and causes.

https://www.mayoclinic.org/diseases-conditions/mental-illness/symptoms- causes/syc-20374968

Downloads

Published

2025-12-25

How to Cite

[1]
Hamida Mohammed Maulid, “VIASHIRIA VYA MATATIZO YA AFYA YA AKILI KATIKA MAISHA YA NDOA KWA KUZINGATIA NADHARIA YA SAIKO-CHANGANUZI: Mifano kutoka riwaya ya Mungu Hakopeshwi na Penzi la Damu”., SUJ, vol. 10, no. 2, Dec. 2025.

Issue

Section

Articles