Nduni za Utanzia katika Riwaya za Kiswahili

Mshabaha Baina ya Haini na Rosa Mistika

Authors

  • Swahiba Ali

Keywords:

Nduni za Utanzia, Riwaya za Kiswahili, Haini na Rosa Mistika

Abstract

Sifa bainifu ya baadhi ya kazi za fasihi ya Kiswahili za karne ya ishirini na moja ni matumizi makubwa ya mbinu za kiuandishi za kimajaribio (Mwamzandi, 2013:48). Miaka nenda rudi, fasihi ya Kiswahili imekuwa ikiing’ongona jamii kuendana na uhalisia unaolandanishwa na utanzia. Huku ikizingatiwa kuwa bado utanzia haukufanyiwa uchunguzi toshelevu kiasi ambacho husababisha kuelemewa na ugeni masikioni mwa wasomaji. Ili kuepukana na changamoto hii, makala imenuia kuichunguza mbinu hii kwa minajili ya kuleta uwelewa mpana huku ufafanuzi wake ukijikita kuweka wazi nduni zake kulingana na kalamu za waandishi wawili waliozaliwa, kulelewa na kukulia katika mazingira tofauti. Mmoja akiwa ni Adam Shafi (Haini, 2003) anayetoka kisiwa cha Unguja Zanzibar na Euphrase Kezilahabi (Rosa Mistika, 1971) mwenyeji wa kisiwani Ukerewe Tanzania Bara. Nadharia ya Upokezi imetumika katika utafiti huu ambayo iliasisiwa na Rosenblatt (1938). Ni Nadharia inayoweka mkazo nafasi ya msomaji na kutupilia mbali nafasi ya mtunzi kutoa tafsiri ya fasihi.  Mbinu ya usomaji wa maktabani (nyaraka) ilitumiwa katika kukusanya data. Wakati huo huo njia ya maelezo imeuteka utafiti kwa shabaha ya kiuchambuzi. Matokeo katika utafiti huu yalionesha kuwa kuna nduni bainifu zinazojikita kwenye riwaya zenye utanzia ndani yake

Downloads

Download data is not yet available.

References

- Ali, H.K. (2015). Matumizi ya Utanzia katika Riwaya Teule za Said Ahmed Mohamed.

Tasnifu ya Umahiri ya Chuo Kikuu cha Dodoma (Haijachapishwa).

- Atlas Encyclopedic Dictionary (2003). Atlas Publishing House. Egypt.

- BAKIZA (Baraza la Kiswahili la Zanzibar). (2010). Kamusi la Kiswahili Fasaha. Oxford University Press. Nairobi.

- Barthes, R. (1977). The Death of The Author. Fontana. London.

- Becker, E. (1973). The Denial of Death. Simon & Schuster Publishers. New York.

- Birkmann, J. (2014). Measuring Vulnerability to Natural Hazards: Towards Disaster Resilient Societies. United Nations University Press. Tokyo.

- Daiches, D. (1981). Critical Approaches to Literature. Longman. London.

- Descartes, R. (1991). A Discourse on Method: Meditations and Principles of Philosophy, J. M. Dent & Sons Ltd. London.

- Encyclopedia Americana. (1979). Americana Corporation. New York.

- Enon, J.C. (1998). Educational Research Statistics and Measument: Educational Psychology. Makekere University Press. Kampala.

- Fish, S.E. (1972). Self – Consuming Artifacts: The Experience of Seventeenth – Century Literature. University of California Press Ltd. London.

- Hasson, O. (2009). “Emotional Tears As Biological Signals” Katika Makala ya Evolutionary Psychology. Vol, 7 (3), Uk, 363 – 370.

- Harlow, B. (1992). Barred: Women, Writing and Political Detention. University Press of New England.

- Jilala, H. (2016). Misingi ya Fasihi Linganishi: Nadharia, Mbinu na Matumizi. Daud Publishing Company Dar es Salaam.

- Jumanne, A & Khamis, T.Y (2021). “Mabadiliko ya Vionjo vya Kiuandishi katika Riwaya ya Kiswahili”. Katika Ruaha Journal of Arts and Social Sciences. Juz, 7. Uk, 1 – 10.

- Kezilahabi, E. (1971). Rosa Mistika. East African Literature Bureau. Nairobi.

- Khamis, S. (2007). “Vionjo vya Riwaya Mpya ya Kiswahili”.Katika Kioo cha Lugha. No. 5. Dar es Salaam: TUKI.

- Kwambai, M na Wenzake. (2020). “Ndwele Ielekezayo kwenye Kifo katika Ua la Faraja na Kichwamaji”. Katika Jarida la CHALUFAKITA. Juz, Na. 2.

SUMAIT Journal (SJ), Issue No. 13 Mon 20223

- Maina, S. M. (2012). Qualitative and Quantitative Research Methods Simplified. Privately Printed at Frajopa Printers Mall. Nairobi.

- Makram (Ibn Manzur), A.J.M. (1997). Lisan Al – Arab. Dar – Sader Publisher. Beirut.

- Mdee, J. S na Wenzake. (2011). Kamusi ya Karne ya 21. Longhorn Publisher Ltd. Nairobi.

- Mugenda, O.M. na Mugenda, A. G. (1999). Research Methods: Quantitative and Qualitative Approaches. Act Press. Nairobi.

- Mwamzandi, I. (2013). “Riwaya Teule za Karne ya Ishirini na Moja na Udurusu wa Nadharia za Fasihi”. Katika Swahili Forum. Juz, 20. Uk, 48 – 66.

- Njogu, K. & Chimerah, R. (1999). Ufundishaji wa Fasihi Nadharia na Mbinu. Jomo Kenyatta Foundation Ltd. Nairobi.

- Nkwera, F.V. (1978). Sarufi na Fasihi Sekondari na Vyuo. Tanzania Publishing House. Dar es Salaam.

- Ponera, A.S. (2014). Utangulizi wa Nadharia ya Fasihi Linganishi. Karljamer Print Technology. Dar es Salaam.

- Rosenblatt, L.M. (1938). Literature as Exploration. Noble and Noble. New York.

- Said, Z & Taib, A.H. (2019). Fasihi ya Ufungwa Nadharia na Mikabala ya Uhakiki – Riwaya kama Kifani. Heko Publishers. Dar es Salaam.

- Senkoro, F.E.M.K. (1987). Fasihi na Jamii. Press and Publicity Centre. Dar es Salaam.

- Shafi, A. (2003). Haini. Longhorn. Nairobi.

- Wafula, R.M. & Njogu, K. (2007). Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Jomo Kenyatta Foundation. Nairobi.

- Walibora, K. W. (2013). Narrating Prison Experience: Human Rights, Self, Society and Political Incarceration in Africa. CHICAGO Common Ground.

- Wamitila, K.W. (2002). Uhakiki wa Fasihi – Misingi na Vipengele Vyake, Phoenix Publishers Ltd. Nairobi.

- Wilkinson, I. (2005). Suffering: A Sociological Introduction. Polity Press. United Kingdom.

Downloads

Published

2023-12-10

How to Cite

Ali, S. (2023). Nduni za Utanzia katika Riwaya za Kiswahili: Mshabaha Baina ya Haini na Rosa Mistika . ABDULRAHMAN AL-SUMAIT University Journal (SUJ), Page 13. Retrieved from https://journal.sumait.ac.tz/index.php/data/article/view/96

Issue

Section

Articles